Kuja Quotes

We've searched our database for all the quotes and captions related to Kuja. Here they are! All 10 of them:

Usitegemee malaika ashuke kutoka mbinguni kuja kukutatulia shida zilizokushinda kwa uzembe. Malaika ni wewe mwenyewe. Ukifanya unachoweza kufanya, Mungu atafanya usichoweza kufanya.
Enock Maregesi
Kiingereza kilipanda meli na ndege kutoka Uingereza kuja Afrika Mashariki. Tujivunie Kiswahili chetu.
Enock Maregesi
Kujiponya kisaikolojia lazima unyanyuke kiroho hadi katika ulimwengu wa roho, na uyatazame maisha yako kutokea juu kuja chini.
Enock Maregesi
Shetani alikuwa kiumbe mzuri kuliko wote mbinguni na ulimwenguni. Mungu alimpendelea. Alikuwa mzuri kuliko malaika wote na alikuwa na nguvu kuliko kiumbe mwingine yoyote yule aliyeumbwa na Mungu, akiwemo binadamu. Lakini alipotupwa kutoka mbinguni kuja duniani kama Adamu na Hawa walivyotupwa kutoka bustanini kuja duniani, Shetani alipoteza sifa yake. Alipoteza sifa yake kwa sababu ya dhambi aliyoitenda, dhambi ya kiburi, na kwa sababu ya kuwa mbali na utukufu wa mbinguni. Badala ya kuwa kiumbe mzuri kuliko wote, Shetani akawa kiumbe mbaya kuliko wote. Mungu akaahidi kutokumsamehe, kwa sababu yeye ndiye kiumbe wa kwanza kutenda dhambi mbinguni na ulimwenguni, kwani hakushawishiwa na mtu kumuasi Mungu.
Enock Maregesi
Kwa vile hatasamehewa, Shetani hatawasamehe wanadamu. Atahakikisha anauwa kila mtu duniani na kumpeleka kuzimu; ambako anaishi yeye, majini, malaika waovu, wana wa Mungu waliotumwa na Mungu kuja duniani kufundisha watu utukufu lakini wakaasi na Mungu akawalaani (au Wanefili) pamoja na nguva. Nguva ni uzao wa Wanefili na samaki wa baharini na malaika wauvu na wanapatikana zaidi katika Bahari ya Atlantiki, ambako mkuu wake ni Malkia wa Pwani, na katika Bahari ya Hindi ambako mkuu wake ni Malkia wa Bahari ya Hindi. Chini ya Bahari ya Hindi ndipo yalipo makao makuu ya ufalme wa giza hapa duniani.
Enock Maregesi
Kujtimi Edhe në mungove, Edhe në ndryshove, Edhe në dredhove, Në më gjarpërove: Kujt j-a dhè mungimin? Kujt ja dhè ndryshimin? Kujt j-a dhe dredhimin? Kuja gjarpërimin? Mungime-e ndryshime, Mungime-e dredhime, Dh’ato gjarpërime- Hon për zemrën t’ime. Zemr’ e mall i parë, Zemërëz’ e vrarë Kujton dyke qarë, Pushton me llaftarë Lulen e pavdarë, Trupin e pangarë. Pa ri pshoj qetuar Dyke ëndëruar Ndaj po puth nër duar- Si ndaj koh’ e shkuar- Fort i dëshëruar, Fort i dhëmshëruar, Fort i lumtëruar, Ballin dritë-qëruar Syrin qjell-kulluar, Gjirin-vajzëruar, Trupin-qumështuar
Lasgush Poradeci
Wachawi wanamwabudu Shetani. Lakini Shetani wanayemwabudu si Shetani Ibilisi aliyeumbwa na Mwenyezi Mungu kuja kuudanganya ulimwengu wote. Ni Shetani roho ya mabadiliko, mabadiliko ya kweli, ya ufahamu kamilia ulimwengu huu ambamo sisi sote tunaishi. Wachawi, kwa maneno mengine, wanaabudu miungu – kama vile Inanna wa Mesopotamia, Isis wa Misri, Asherah wa Kaanani au Belus wa Assyria ambaye ndiye mungu wa kwanza kuabuadiwa kama sanamu duniani – iliyotwaliwa na Shetani tangu misingi ya ulimwengu huu kusimikwa. Dhambi aliyotenda Shetani mbinguni ni ndogo kuliko dhambi wanazotenda wachawi duniani, ijapokuwa dhambi aliyotenda Shetani haitaweza kusamehewa na ndiyo maana Shetani hataweza kuwasamehe wanadamu. Ni jukumu letu kuwaita wachawi wote kutoka Babeli na kuwaleta katika ukweli kama kweli wanayemwabudu ni Shetani Ibilisi, Shetani Beelzebub, Shetani Asmodeus, Shetani Leviathan, Shetani Mammon, Shetani Amon au Shetani Belphegor ambao ni mabingwa wa kiburi, uroho, zinaa, wivu, fedha, hasira na uvivu duniani. Wachawi hawajui, na usipojua waweza kufa bila kujua.
Enock Maregesi
Mungu alikuumba miaka mingi kabla hujazaliwa. Ndani ya roho yako kulikuwa na mpango mkuu wa Mungu juu ya maisha yako katika kipindi chote utakachokuwa hai, na katika kipindi chote utakachokuwa mfu. Lakini Shetani katika mji wa angani unaosemekana kuzuia majibu ya maombi ya Danieli ya siku ishirini na moja, kutoka mbinguni kuja duniani, uitwao Sadiki, wenye mashetani wenye nguvu kuliko mashetani wote katika ufalme wa giza, akaizuia roho hiyo kisha akaiwekea mpango mkuu wa Shetani juu ya maisha yako ili umtumikie yeye badala ya kumtumikia Mwenyezi Mungu. Kwa mfano, Mungu alipanga uzaliwe mkoani Arusha. Halafu akapanga mke au mume wako azaliwe mkoani Mwanza. Mkoani Arusha Mungu alipanga uwe mwinjilisti wa vitabu, wakati mkoani Mwanza alipanga mke au mume wako awe mwimbaji wa nyimbo za injili. Katika mikoa yote miwili Mungu alishatuma malaika wema wa kuwasaidia katika mipango mikuu ya maisha yenu na kuwaepusha na hila zote za adui. Lakini badala ya kuzaliwa Arusha au Mwanza Shetani ataziprogramu roho zenu upya ili wa Arusha azaliwe Dodoma au Mara au Venezuela na wa Mwanza azaliwe Lindi au Kagera au Mombasa, ambapo hakutakuwa na malaika wema wa kuwasaidia. Badala ya kuwa mwinjilisti wa vitabu, Shetani atakufanya uwe jambazi; na badala ya kuwa mwimbaji wa nyimbo za injili, Shetani atakufanya uwe mwanamuziki. Ndiyo maana wakati mwingine ni vizuri kuhama sehemu unapoishi na kwenda kuishi sehemu nyingine, ambapo kwa kusaidiana na malaika wako wa mwanzo ambaye Mungu alikupangia kabla hujazaliwa, utafanikiwa katika maisha yako, kama alivyofanya Ibrahimu. Watu wengi wanaishi maisha ambayo si ya kwao. Kukomboa kile ambacho Mungu alikipanga ndani ya roho yako kabla hujazaliwa, na kabla roho yako haijazuiwa na mashetani wa angani, kuwa karibu na Mwenyezi Mungu. Kwa Mungu hakuna siri, atakufunulia tu.
Enock Maregesi
Ba kuja sar niham keh chun zanjir Har dare halqa-e dare digar-ast (Hide—but where? Each door I close opens another.) —Anonymous (found in a ghazal by Mir Taqi Mir)
Muhammad Umar Memon (The Greatest Urdu Stories Ever Told)
Stuhlreiter, Đurđica, Sonata, Zagreb, 2019 . Str. 206.-207. Sunčana nesvjesno položi ruke na trbuh. Stane smirivati nevidljivi dio sebe koji nema pojma što mu se sprema. I šaputati mu počne, tiho da je nitko ne čuje. Bit će ti bolje kad te ne bude, vidjet ćeš. Jebeno je sve ovo kamo te misle baciti i, ako se može, bolje je zaobići te gnojne rane, prelaske ulica, i duboku vodu. Sve su to gadne stvari i boriti se s njima čisti je gubitak vremena. A tek duša, koja je to jebena gnjavaža! Ne daj ti, Bože, da imaš dušu, bit ćeš promašen slučaj i gubitnik za sva vremena. Kad bi se rodilo bez duše, bilo bi bolje, ali kako to izvesti? Da ih možda pitam mogu li ti očistiti samo dušu? Izrezati je i baciti, pokloniti nekome tko bi se baš volio mučiti, a ti da možeš lijepo hodati svijetom bezbrižan i bezdušan. Gaziš sve na što naiđeš i jebe ti se živo za jadnike što cmizdre ili spominju nekakvu pravdu. A tek glazba! To ti je nešto najstrašnije što možeš zamisliti. Istina, ne znam za gitaru, violinu i slična sranja, ali klavir... Ne, bolje ti je da ne znaš, pahuljice moja! Vrati se lijepo tamo odakle si došla, jer ovo nije mjesto za tebe. Nije ni za mene, ali što ću kad me stara nije na vrijeme počistila. Znam sigurno, rastopila bi se na suncu, uvenula bi kao prozirna latica. Možda bi te napali i crvi, gusjenice bi se hranile tobom, plazili bi po tebi žohari, a ja ne bih mogla ništa. Ne bih te mogla obraniti, mrvice, jer se ni sama ne mogu sakriti od kiše i sunca, a kamoli od tuče ili gromova. Bježim pred njima, povlačim se u crne rupe, a tebe ne bih mogla povesti sa sobom. Ostavila bih te, jer sam sebična kuja i mislim samo na sebe.
Đurđica Stuhlreiter (Sonata)