Ujinga Quotes

We've searched our database for all the quotes and captions related to Ujinga. Here they are! All 6 of them:

Usiwapoteze marafiki zako wa mwanzo kwa sababu ya ujinga wako, wala usiwaache marafiki zako wa mwanzo kwa sababu ya ujinga wao.
Enock Maregesi
Ujinga ni giza.
Enock Maregesi
Nina matatizo ya kiafya: Udadisi wa hali ya juu wa kiakili.
Enock Maregesi
Udadisi ni kiboko cha ujinga.
Enock Maregesi
Ujinga ni kutoijua karama yako.
Enock Maregesi
Watu wengi hawana maarifa kwa sababu ya elimu na utajiri. Hawana elimu na hawana utajiri. Nchi iwape wananchi wake kila kitu isipokuwa ujinga na umaskini.
Enock Maregesi