Utulivu Quotes

We've searched our database for all the quotes and captions related to Utulivu. Here they are! All 3 of them:

Dikteta uchwara ni sifa nzuri na Lissu analijua hilo kwa sababu yeye ni mwanasheria, na JPM analijua hilo kwa sababu yeye ni Rais wa nchi. Rais ni alama ya utulivu wa nchi. Hatima ya Lissu iko mikononi mwa JPM.
Enock Maregesi
Rais ni mwanzo wa sheria na ni alama ya utulivu wa nchi.
Enock Maregesi
Kuwa na utulivu na upole haimaanishi wewe ni dhaifu. Watu kama hao wanaonyesha kina, nguvu za ndani zilizo chini ya udhibiti. Ni kujua wakati wa kuzungumza na wakati wa kusikiliza; wakati wa kuchukua hatua na wakati wa kusubiri. Usiwadharau watu hao. Wanatembea duniani kwa nguvu kubwa zaidi!
David Shamala