Mwaka Mpya Quotes

We've searched our database for all the quotes and captions related to Mwaka Mpya. Here they are! All 3 of them:

Mwaka mpya ukifika watu husherehekea kwa vifijo na nderemo! Pumzi ikifika hawasherehekei. Kwa nini?
Enock Maregesi
Kitu cha kwanza kufanyika mwanadamu anapozaliwa ni kuvuta pumzi ya kwanza katika mapafu ya mwili wake. Cha mwisho kufanyika kabla ya kufa ni kutoa pumzi ya mwisho katika mapafu ya mwili wake. Pumzi iliyoingia kwanza baada ya kuzaliwa, itakuwa ya mwisho kutoka kabla ya kufa. Pumzi ni bora kuliko muda halafu pumzi ni uhai. Bila uhai watu hawataweza kusherehekea mwaka mpya au kufanya chochote. Likumbuke jina la Mwenyezi Mungu katika kila pumzi unayoingiza na kutoa.
Enock Maregesi
kumbuka mwaka mpya unapoanza tunauanza kwa shagwe na vigelegele lakini mwisho wake ni mateso.tujipange basi
blasio kajuna