Uganda Swahili Quotes

We've searched our database for all the quotes and captions related to Uganda Swahili. Here they are! All 7 of them:

Kiswahili ni lugha rasmi ya nchi za Tanzania, Kenya na Uganda. Ni lugha isiyo rasmi ya nchi za Rwanda, Burundi, Msumbiji na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Lugha ya Kiswahili ni mali ya nchi za Afrika ya Mashariki, si mali ya nchi za Afrika Mashariki peke yake. Pia, Kiswahili ni lugha rasmi ya Umoja wa Afrika; pamoja na Kiarabu, Kiingereza, Kifaransa, Kireno na Kihispania. Kiswahili ni lugha inayozungumzwa zaidi nchini Tanzania kuliko nchi nyingine yoyote ile, duniani.
Enock Maregesi
Wajerumani, hata hivyo, wakati wa utawala wao waliruhusu Kiswahili kiwe lugha halisi ya taifa nchini Tanzania kwa vile hawakukiongea Kiingereza wala hawakukipenda. Ndiyo maana Kiswahili kinazungumzwa zaidi nchini Tanzania kuliko Kenya au Uganda.
Enock Maregesi
In reality, Kabila was no more than a petty tyrant propelled to prominence by accident. Secretive and paranoid, he had no political programme, no strategic vision and no experience of running a government. He refused to engage with established opposition groups or with civic organisations and banned political parties. Lacking a political organisation of his own, he surrounded himself with friends and family members and relied heavily for support and protection on Rwanda and Banyamulenge. Two key ministries were awarded to cousins; the new chief of staff of the army, James Kabarebe, was a Rwandan Tutsi who had grown up in Uganda; the deputy chief of staff and commander of land forces was his 26-year-old son, Joseph; the national police chief was a brother-in-law. Whereas Mobutu had packed his administration with supporters from his home province of Équateur, Kabila handed out key positions in government, the armed forces, security services and public companies to fellow Swahili-speaking Katangese, notably members of the Lubakat group of northern Katanga, his father’s tribe.
Martin Meredith (The Fate of Africa: A History of Fifty Years of Independence)
Kiswahili ni lugha ya Kibantu na lugha kuu ya kimataifa ya biashara ya Afrika ya Mashariki ambayo; maneno yake mengi yamepokewa kutoka katika lugha za Kiarabu, Kireno, Kiingereza, Kihindi, Kijerumani na Kifaransa, kutoka kwa wakoloni waliyoitawala pwani ya Afrika ya Mashariki katika kipindi cha karne tano zilizopita. Lugha ya Kiswahili ilitokana na lugha za Kisabaki za Afrika Mashariki; ambazo nazo zilitokana na Lugha za Kibantu za Pwani ya Kaskazini Mashariki za Tanzania na Kenya, zilizotokana na lugha zaidi ya 500 za Kibantu za Afrika ya Kusini na Kati. Lugha za Kibantu zilitokana na lugha za Kibantoidi, ambazo ni lugha zenye asili ya Kibantu za kusini mwa eneo la Wabantu, zilizotokana na jamii ya lugha za Kikongo na Kibenue – tawi kubwa kuliko yote ya familia ya lugha za Kikongo na Kinijeri katika bara la Afrika. Familia ya lugha za Kikongo na Kibenue ilitokana na jamii ya lugha za Kiatlantiki na Kikongo; zilizotokana na familia ya lugha za Kikongo na Kinijeri, ambayo ni familia kubwa ya lugha kuliko zote duniani kwa maana ya lugha za kikabila. Familia ya lugha ya Kiswahili imekuwepo kwa karne nyingi. Tujifunze kuzipenda na kuzitetea lugha zetu kwa faida ya vizazi vijavyo.
Enock Maregesi
Uganda a landlocked country in East Africa; pop. 24,699,073 (est. 2002); languages, English (official), Swahili, and others; capital, Kampala. Ethnically and culturally diverse, Uganda became a British protectorate in 1894 and an independent Commonwealth state in 1962. The country was ruled 1971–9 by the brutal dictator Idi Amin, who came to power after an army coup. His overthrow, with Tanzanian military support, was followed by several years of conflict, partly resolved in 1986 by the formation of a government under President Yoweri Museveni.
Angus Stevenson (Oxford Dictionary of English)
Komandoo Nicolas Kahima Kankiriho ('Kahima the Warrior') alizaliwa katika Wilaya ya Bushenyi, Ankole, kusini-magharibi mwa Uganda, Julai 24, 1954, mtoto wa tano kuzaliwa, katika familia ya watoto sita ya Nicodemas Kankiriho; mzee wa heshima wa Wabaima, aliyekuwa akisifika sana kwa uchungaji (wa mifugo) na msisitizo mkali wa ukiristo kwa watoto wake wote; hasa Kahima na Yebare, binti yake wa pekee, aliyekuwa wa mwisho kuzaliwa. Kahima (futi 6 inchi 3 aliyekuwa akiongea Kinyankole, Kiswahili, Kiingereza na Kihispania kwa ufasaha), baada ya kutoka Uganda – kwa mafunzo ya mwanzo ya ukomandoo ya Kiisraeli – alikwenda Urusi na Korea ya Kaskazini ambako aliongeza ujuzi hadi kiwango cha juu kabisa; kabla ya kwenda Amerika ya Kusini, kama askari wa msituni wa vyama vya kisiasa visivyo rasmi vya magorila wa Kolombia. Akiwa Kolombia, Kahima alikutana na Eduardo Chapa de Christopher (kiongozi wa zamani wa Kateli ya Diablos de Amazonas, Mashetani wa Amazoni, iliyokuwa ikivilinda vyama vya kisiasa vya magorila vya Americas) ambaye alimwajiri kama mlinzi binafsi na baadaye kama mlinzi binafsi wa Carlos Pulecio Alcántara – kiongozi wa kwanza wa Kateli ya Kolonia Santita. Alcántara alipouwawa, Kahima alihamia kwa Panthera Tigrisi – Kiongozi Mkuu wa Kolonia Santita.
Enock Maregesi
skinned outsiders who wanted to buy them. They themselves had slaves. And captives were secured precisely to be sold, a market that made many of the local kingdoms rich and underlay their power. Slavery in Africa, again, had no correlation to skin color—except in Arab countries, where the lighter-skinned Arabs had Negro slaves. De facto and even legal slavery existed in Africa until the modern era; Mauritania only outlawed it in the 1980s. The fact that the Arabs were some of the biggest slave traders in the continent makes it grimly amusing that during the civil rights era in America, some black people converted to Islam and learned rudimentary Swahili, the patois of the Arab east coast, apparently believing that Islam was more pro-black than Christianity. Some African kingdoms were bigger slavers than others: two of the most active were the Buganda kingdom that borders Rwanda in what is now Uganda
Bruce Fleming (Saving Our Service Academies: My Battle with, and for, the US Naval Academy to Make Thinking Officers)