β
I ignored your aura but it grabbed me by the hand, like the moon pulled the tide, and the tide pulled the sand.
β
β
Talib Kweli
β
Life without knowledge is death in disguise...
β
β
Talib Kweli
β
Hadithi ya maisha yangu ni yangu. Wewe ni nani kusema hadithi yangu si ya kweli?
β
β
Enock Maregesi
β
Please, this is no disrespect to whoever your man is though. This relationship is strictly musical like D'Angelo
β
β
Talib Kweli
β
This goes out to freedom fighters, graffiti writers, innocent lifers, grassroots organizers
β
β
Talib Kweli
β
Kama utafiti wa mtu umevuka mipaka ya ukweli au uhalisia toa utafiti mwingine kuupinga huo wa kwake, kwa lengo la kuelimisha wengi. Haina maana kusema jambo si la kweli na usitwambie kwa nini si la kweli.
β
β
Enock Maregesi
β
You gave birth to a new sound like Donda West.
β
β
Talib Kweli
β
Murphy. Sina mbinu zozote za kujikinga kama unavyojua; mbali na mafunzo ya FBI. Baada ya kumrusha nyoka wa Lisa nywele zilinisisimka. Wazo la kukimbia likaja ghafla. Kukimbia hata hivyo nikashindwa kwa kuhofu huenda wangeniona. Hivyo, nikarudi nyuma ya nyumba na kupanda mti na kujificha huko. Bunduki zilipolia, nilijua wamekuua. Ila kitu kimoja kikanishangaza: mashambulizi hayakuonekana kukoma. Kitu hicho kikanipa nguvu kwamba huenda hujafa na ulikuwa ukipambana nao. Kimya kilipotokea nilijua umewashinda nguvu, kitu ambacho kumbe kilikuwa kweli. Nilipokutafuta baadaye lakini bila kukuona kutokana na kukurukakara za maadui niliamua kwenda katika gari ili nije na gari kama mgeni, nikitegemea waniruhusu kuingia ili nipate hakika kama wamekuua au bado uko hai. Wasingenifanya chochote. Kimaajabu, niliposhuka katika mti ili nikimbie katika gari, niliona gari ikija kwa kasi. Kuangalia vizuri nikakuta ni Ferrari, halafu nikashangaa nani anaendesha gari ya Lisa!β
Murphy alitabasamu tena na kuendelea kusikiliza.
βSijui moyo wangu ulikuwaje. Sikuogopa tena! Badala yake nilikaza mwendo na kuendelea kuifuata huku nikipata wazo hapohapo kwamba mtu aliyekuwemo akiendesha hakuwa adui. Adui angeingia katika gari na kunisubiri aniteke nyara.β Debbie alitulia.
βUlihisi ni mimi?β Murphy aliuliza.
βNilihisi ni mtu tu mwema amekuja kunisaidia ... au mwizi wa gari. Hata hivyo, baadaye nilijua ni wewe na furaha yangu yote ilirudi.
β
β
Enock Maregesi (Kolonia Santita)
β
Kamishna β¦ karibu," alisema Nafi huku akisimama na kutupa gazeti mezani na kuchukua karatasi ya faksi, iliyotumwa.
"Ahsante. Kuna nini β¦"
"Kamishna, imekuja faksi kutoka Oslo kama nilivyokueleza β katika simu. Inakutaka haraka, kesho, lazima kesho, kuwahi kikao Alhamisi mjini Copenhagen," alisema Nafi huku akimpa kamishna karatasi ya faksi.
"Mjini Copenhagen!" alisema kamishna kwa kutoamini.
"Ndiyo, kamishna β¦ Sidhani kama kuna jambo la hatari lakini."
"Nafi, nini kimetokea!"
"Kamishna β¦ sijui. Kwa kweli sijui. Ilipofika, hii faksi, kitu cha kwanza niliongea na watu wa WIS kupata uthibitisho wao. Nao hawajui. Huenda ni mauaji ya jana ya Meksiko. Hii ni siri kubwa ya tume kamishna, na ndiyo maana Oslo wakaingilia kati."
"Ndiyo. Kila mtu ameyasikia mauaji ya Meksiko. Ni mabaya. Kinachonishangaza ni kwamba, jana niliongea na makamu β¦ kuhusu mabadiliko ya katiba ya WODEA. Hakunambia chochote kuhusu mkutano wa kesho!"
"Kamishna, nakusihi kuwa makini. Dalili zinaonyesha hali si nzuri hata kidogo. Hawa ni wadhalimu tu β¦ wa madawa ya kulevya."
"Vyema!" alijibu kamishna kwa jeuri na hasira. Halafu akaendelea, "Kuna cha ziada?"
"Ijumaa, kama tulivyoongea wiki iliyopita, nasafiri kwenda Afrika Kusini."
"Kikao kinafanyika Alhamisi, Nafi, huwezi kusafiri Ijumaa β¦"
"Binti yangu atafukuzwa shule, kam β¦"
"Nafi, ongea na chuo β¦ wambie umepata dharura utaondoka Jumatatu; utawaona Jumanne β¦ Fuata maadili ya kazi tafadhali. Safari yako si muhimu hivyo kulinganisha na tume!"
"Sawa! Profesa. Niwie radhi, nimekuelewa, samahani sana. Samahani sana.
β
β
Enock Maregesi (Kolonia Santita)
β
Wanasayansi wana uwezo wa kupeleleza hadi kipindi cha karne ya kwanza ambapo Yesu aliishi, alikufa, alifufuka na alipaa kwenda mbinguni, na wana uwezo wa kujua mambo mengi kwa hakika yaliyofanyika katika kipindi hicho na hata katika kipindi cha kabla ya hapo.
Kuna miujiza ambayo Yesu aliifanya ambayo haiko ndani ya Biblia. Kwa mfano, Biblia inasema Yesu alizaliwa ndani ya zizi la ngβombe wakati sayansi inasema alizaliwa nje ya zizi la ngβombe; na muujiza wa kwanza kuufanya ambao hauko ndani ya Biblia ni kutembea mara tu baada ya kuzaliwa, na watu na ndege wa angani kuganda kabla ya kuzaliwa Masihi na kabla ya wakunga kufika kumsaidia Maria Magdalena kujifungua.
Akiwa na umri wa miaka sita, sayansi inasema, Yesu alikuwa akicheza na mtoto mwenzake juu ya paa la nyumba ya jirani na mara Yesu akamsukuma mwenzake kutoka juu hadi chini na mwenzake huyo akafariki papo hapo. Watu walipomsonga sana Yesu kwa kumtuhumu kuwa yeye ndiye aliyesababisha kifo cha mwenzake, na kwamba wangemfungulia mashtaka, Yesu alikataa katakata kuhusika na kifo hicho.
Lakini walipozidi kumsonga, aliusogelea mwili wa rafiki yake kisha akamwita na kumwambia asimame. Yule mtoto alisimama! Huo ukawa muujiza mkubwa wa kwanza wa Yesu Kristo, kufufua mtu nje ya maandiko matakatifu.
Kuna mifano mingi inayodhihirisha uwepo wa Mungu ambayo wanasayansi hawawezi hata kuipatia majibu. Tukio la Yoshua kusimamisha jua limewashangaza wanasayansi hadi nyakati za leo. Mwanzoni mwa miaka ya 70 wanasayansi walijaribu kurudisha muda nyuma kwa kompyuta kuona kama kweli wangekuta takribani siku moja imepotea kama ilivyorekodiwa katika Biblia.
Cha kushangaza, cha kushangaza mno, walikuta saa 23 na dakika 20 zimepotea katika mazingira ambayo hawakuweza na hawataweza kuyaelewa. Walipochunguza vizuri walikuta ni kipindi cha miaka ya 1500 KK (Jumanne tarehe 22 Julai) ambacho ndicho tukio la Yoshua la kusimamisha jua na kusogeza mwezi nyuma digrii 10, ambazo ni sawa na mzunguko wa dakika 40, lilipotokea.
Kwa kutumia elimu ya wendo, elimu ya kupanga miaka na matukio ya Kibiblia, dunia iliumbwa Jumapili tarehe 22 Septemba mwaka 4000 KK. Hata hivyo, mahesabu ya kalenda yanaonyesha kuwa Septemba 22 ilikuwa Jumatatu (si Jumapili) na kwamba kosa hilo labda lilisababishwa na siku ya Yoshua iliyopotea.
Hayo yote ni kwa mujibu wa Profesa C. A. Totten, wa Chuo Kikuu cha Yale, katika kitabu chake cha βJoshuaβs Long Day and the Dial of Ahaz: A Scientific Vindication and a Midnight Cryβ kilichochapishwa mwaka 1890.
Kama hakuna Mungu iliwezekanaje Yoshua aombe jua lisimame na jua likasimama kweli? Iliwezekanaje Yesu aseme atakufa, atafufuka na atapaa kwenda mbinguni na kweli ikatokea kama alivyosema? Ndani ya Biblia kuna tabiri 333 zilizotabiri maisha yote ya Yesu Kristo hapa duniani na zote zilitimia β bila kupungua hata moja. Utasemaje hapo hakuna Mungu? Mungu yupo, naamini, sijui.
Tukio la Yesu kufa, kufufuka na kupaa kwenda mbinguni si la vitabu vitakatifu pekee, hata sayansi inakubaliana na hilo.
β
β
Enock Maregesi
β
Sigara zilizidi kuvutwa, ndani ya nyumba, na magaidi wale wawili, wakati Murphy akisinzia kudanganyia kama kweli nguvu zilishamwisha. Alimfikiria tena mpenzi wake Sophia, safari hii sana. Alimkumbuka Debbie; hakujua alikuwa wapi na hakujua mama yake angefanya nini kama Debbie angekufa, na Murphy ndiye aliyetoka naye. Debbie alimuuma zaidi. Alimkataza kufa kwa ajili ya mchumba wake. Sasa alikufa kwa ajili ya mtu ambaye hakumjua. Murphy alijilaumu kumtongoza na kumchukua kwao na kulala naye na kula chakula chake cha kifalme. Wazazi wake wangejisikiaje kama angekufa, tena katika mazingira ya kutatanisha kama yale. Kufa alijua angekufa; lakini Mungu angemsaidia, awaage watu wake.
β
β
Enock Maregesi (Kolonia Santita)
β
Kuna tetesi kuwa Julius Nyerere alipewa tuzo ya MBE na malkia wa Uingereza akiwa rais wa Tanzania! Lakini aliikataa! Kwa nini? Kwa sababu angeonekana Mwingereza zaidi kuliko Mtanzania! Januari 26, 1996 akapewa Tuzo ya Kimataifa ya Amani ya Mahatma Gandhi ya mwaka 1995, ya kwanza kabisa, iliyotolewa na Serikali ya India. Lakini hiyo pia akaikataa! Kwa sababu Mahatma Gandhi alimwaga damu katika harakati zake za kuwang'oa wakoloni barani Afrika! Kama ni kweli, hakuna kujitolea kuliko huko.
β
β
Enock Maregesi
β
Kuna siri nyingi za ndani zinazofanya mtu aendelee kufanikiwa, na kuna siri nyingi za nje zinazofanya mtu aendelee kuficha siri ya mafanikio yake. Siri za ndani ni siri za kweli, ilhali siri za nje ni siri za uongo, zenye lengo la kuficha ukweli. Hata hivyo, siri ya mafanikio ni kufanya kazi kwa bidii na maarifa, pamoja na siri.
β
β
Enock Maregesi
β
Mafundisho mengine ambayo si ya kweli ya Ukristo ambayo hutokana na utambuzi wao wa matukio haya ni βSiku ya Bwanaβ. Makanisa ya Kikatoliki na Kiprotestanti kote duniani yanaonekana kuwa na nia njema lakini huwadanganya watu kuamini kuwa Kristo alibadili siku ya kupumzika kutoka Sabato kwenda Jumapili. Angewezaje kufanya hivyo? Angeweza kufanya hivyo kwa ufufuo wake!
β
β
Enock Maregesi
β
Wafuasi wa Yesu Kristo watapata taabu kubwa ambayo haijawahi kutokea. Yeyote atakayempinga Mpinga Kristo, yeyote atakayepinga utawala wa Mpinga Kristo, atakiona cha mtema kuni. Watu wengi watauwawa kwa sababu ya ufuasi wao kwa Masihi. Wale watakaokuwa na talanta ya kuhubiri watauwawa kinyama, hadharani, ili liwe fundisho kwa wafuasi wengine wa Yesu Kristo.
Miongoni mwa wale watakaokuwa wanahubiri injili ya kweli ya ufalme wa Mungu bila woga wa aina yoyote ile, atakuwemo Eliya na Enock. Eliya na Enock Mungu aliwachukua bila kuonja mauti, kama akiba, kwa sababu ya kipindi hicho cha Taabu ya Yakobo.
Eliya na Enock wataibuka ghafla jijini Yerusalemu na kuanza kuhubiri injili ya kumpinga Mpinga Kristo. Kwa vile hawataogopa chochote, wala hawatamwogopa yeyote, serikali ya Israeli itawakamata na kuwatesa lakini hawatanyamaza.
β
β
Enock Maregesi
β
Mpinga Kristo atakapoona imeshindikana kuwanyamazisha, Eliya na Enock, huku akitamba kwamba yeye ndiye Yesu Kristo ambaye kila mtu ndiye aliyekuwa akimsubiri arudi kwa mara ya pili; na kwamba yeye anatoka katika ukoo wa mfalme Daudi, ili watu waamini kama kweli yeye ndiye Yesu Kristo, ataamuru Eliya na Enock wauwawe hadharani kama wahubiri wengine.
Eliya na Enock watakapouwawa, Mungu atawafufua na watarudi mbinguni wakiwa wameonja mauti kama binadamu mwingine yeyote yule. Hapo mlango wa rehema utakuwa umefungwa. Muda wowote kuanzia hapo Yesu atarudi, kwa mara ya pili, na kwa ajili ya ufufuo wa kwanza.
β
β
Enock Maregesi
β
Dhambi ya Adamu ilileta mauti duniani (kwa viumbe vyote, si tu kwa binadamu). Hiyo ni kwa mujibu wa Biblia. Kisayansi si kweli; kwa sababu mauti yalikuwepo kabla Adamu na Hawa hawajaumbwa! Lakini haya ndiyo mawazo yangu: Dhambi iliathiri uumbaji wote ikiwemo mimea, wanyama, wadudu na kila kitu kilichoumbwa na Mwenyezi Mungu; ambavyo huteseka kwa sababu ya laana ya dunia. Kama wanyama na mimea visingekuwa vinakufa, binadamu wasingepata mahali pa kuishi. Hata hivyo, kifo cha Yesu msalabani kitafufua kila kitu β kitafufua uumbaji wote.
β
β
Enock Maregesi
β
As an activist, I know that the best way to help is to not ignore the good work being done in places like Ferguson and across the country. Instead, I make a conscious choice to surround myself with people who are fighting for justice, and I praise their work for all to hear. As an activist and an artist, I know there is always light at the end of the tunnel. This is why I write my music in the spirit of hope and celebration. Because if we never celebrate the victories, then why are we even fighting?
β
β
Talib Kweli Green
β
Hakuna uponyaji pasipo imani ya kweli. Giza linapoingia katika maisha yako ongea na Mungu. Halafu ongea na tatizo linalokusumbua. Kama tatizo linalokusumbua ni saratani, iambie saratani iondoke na kamwe isirudi katika mwili wako tena. Baada ya hapo, nenda kwa mchungaji. Jiweke wakfu, kwanza, kabla ya kuombewa.
β
β
Enock Maregesi
β
Yesu alipokuwa msalabani watu wengi walimzunguka. Askari wa Kirumi aliyekuwa na chongo, na mkuki, alikuwa na jukumu la kumtesa Yesu hadi kufa kwa amri ya Pilato. Yesu alipolia kwa sauti kuu, βEloi, Eloi, lama sabakthani?β, yule askari alikurupuka na kumwendea Yesu. Lakini Yesu alishakata roho. Kuthibitisha kama Yesu alishakata roho, askari alimchoma Yesu mkuki kwenye mbavu kwa nguvu zake zote. Mkuki huo ukamtoboa Yesu hadi upande wa pili, ukatoboa hata moyo wake. Askari alipochomoa mkuki, damu na maji viliruka na kupiga jicho lake bovu. Papo hapo askari akapona na kuona vizuri. Alipoona kweli amepona na kuona vizuri, askari alipiga kelele, alipiga magoti na kuomba Mungu amsamehe dhambi zake. Msamaha una nguvu kuliko dhambi. Askari huyo atakwenda mbinguni. Haijalishi umechukia watu kiasi gani. Haijalishi umetesa watu kiasi gani. Haijalishi umeua watu kiasi gani. Haijalishi umetenda dhambi kiasi gani. Mungu anachotaka kutoka kwako, tubu.
β
β
Enock Maregesi
β
Je, ni kweli kwamba dunia itaisha mwezi huu tarehe 29? Hakuna ajuae, tujiandae.
β
β
Enock Maregesi
β
Kumwamini Mwenyezi Mungu wakati wa raha ni rahisi kuliko kumwamini Mwenyezi Mungu wakati wa shida, na utahitaji imani kuendelea kumwamini wakati wa dhiki. Vipindi vigumu katika maisha yetu hutokea kwa kila mmoja wetu. Kuamini ya kwamba Mungu ana makusudi ya lazima kukuondolea vikwazo katika maisha yako ni vigumu sana wakati mwingine, lakini imani ndicho kitu cha muhimu zaidi unachotakiwa kuwa nacho katika kipindi hiki ambacho dunia imekata tamaa. Amani ya Mungu, ambayo huzidi hekima na maarifa yote ya kibinadamu, ni kuliamini neno la Mungu kwamba ni la kweli. Bila imani hutaweza kumfurahisha Mungu. Imani ni ufunguo wa nguvu, uwezo na neema ambavyo Mungu ametupangia. Kwa ufupi, Mungu ni mkubwa kuliko wewe na matatizo yako.
β
β
Enock Maregesi
β
Askari wa Kirumi alimchoma Yesu mkuki ili andiko litimie. Askari huyo ambaye Biblia haikumtaja jina kwa sababu zilizoko nje ya uwezo wetu, alivyoona kweli amepona na ameona alishuhudia, na ushuhuda wake ulitoka moyoni, ili nasi tupate kusadiki. Wauaji wa Kirumi walipoona kwamba wale wezi waliosulubiwa pamoja na Yesu walikuwa bado hawajakata roho, waliwavunja miguu ili washindwe kupumua na hivyo kuharakisha kifo chao. Kwa upande wa Yesu, waliona alishapoteza fahamu na labda alishafariki. Kuthibitisha hilo askari wa Kirumi alirusha mkuki, nao ukatoboa utando unaozunguka moyo wa Yesu na mapafu ya Yesu, na damu na maji kutoka. Lakini yote hayo yalishatabiriwa miaka mingi kabla ya Yesu: βHakuna hata mfupa wake mmoja utakaovunjwaβ na βNao watamtazama yeye ambaye walimchomaβ.
β
β
Enock Maregesi
β
Kuna siri ambayo wanaume hawaijui kuhusu wanawake. Wanawake wenye umri wa miaka kumi na nane hadi ishirini na mbili wana mapenzi ya kweli. Ishirini na mbili hadi ishirini na nne wana mawenge. Ishirini na nne hadi ishirini na saba wanajitambua. Ishirini na saba hadi thelathini wana hofu na mashaka mengi. Thelathini hadi thelathini na tano wana msongo wa mawazo. Thelathini na tano hadi arobaini na mbili ndoa nyingi huvunjika. Kwa hiyo, kuwa makini na wanawake na wanaume hasa wanawake na wanaume wa kundi la sita. Wanawake na wanaume hasa wanawake na wanaume wa kundi la sita, wengi wao wana DNA ya wapenzi wao wa zamani.
β
β
Enock Maregesi
β
Mungu hatakubali kuwa na mtu katika ufalme wake ambaye hatakubali kutawaliwa naye. Usikubali kutawaliwa na Ibilisi, kubali kutawaliwa na Mungu. Ni jukumu letu kuanza kuishi sasa kama vile tutakavyoishi mbinguni. Shetani anataka uwe na hekima ya duniani ili akupumbaze. Lakini hofu ya Mungu ndiyo msingi wa hekima ya kweli. Ukitaka asikupumbaze, pokea Roho ya Mungu kwa kubatizwa. Ukiipokea Roho ya Mungu utajua mambo ya Mungu, ambayo dunia haiwezi kujua.
β
β
Enock Maregesi
β
I was a lost Saul on a life-long road to Damascus, stuck at crossroads and blinded by Your perfect vision, i upped, then left and went right
β
β
Kweli Douglas
β
Ukiwa na mafanikio ya Shetani hayo si mafanikio ya kweli. Ukiwa na mafanikio ya Mungu hayo ndiyo mafanikio ya kweli. Mafanikio ya kweli hayatokani na NINI unacho. Mafanikio ya kweli yanatokana na NANI unaye. Yesu Kristo alikuwa maskini, hakuwa na kitu; lakini alikuwa tajiri, alikuwa na Mungu ndani ya moyo wake.
β
β
Enock Maregesi
β
Lengo la kuabudu ni kumtukuza, kumheshimu, kumsifia, kumfurahia, na kumpendeza Mungu. Ibada yetu lazima ionyeshe mapenzi ya kweli na uaminifu mkubwa kwa Mungu kwa ajili ya wema na rehema ambavyo ametupa kupitia Mwanaye wa Pekee aliyekufa msalabani, ili kutuokoa kutoka ubinafsini.
β
β
Enock Maregesi
β
Mawazo ya kukata tamaa yanaweza kusababisha tukamtengeneza au kumbuni tena Mungu kwa mfano wetu sisi wenyewe, mfano ambao kwa kawaida ni tofauti kabisa na mfano unaozungumzwa ndani ya Biblia. Hivyo tunaishia kutumikia mfano badala ya kumtumikia Mungu wa kweli.
β
β
Enock Maregesi
β
Wakati mwingine inaweza kuonekana kuwa kadiri unavyozidi kujitolea kwa ajili ya watu wengine ndivyo unavyozidi kuwa maskini, lakini hii si kweli. Huduma kwa ajili ya watu wengine huleta maana fulani na ukamilifu katika maisha yetu kwa namna ambayo utajiri, madaraka na mali haviwezi kushindana nao. Mungu hababaishwi na kiasi gani unatoa. Anababaishwa na imani uliyonayo wakati unatoa. Ukitoa kidogo inatosha. Ukitoa kingi inatosha pia.
β
β
Enock Maregesi
β
Shetani anatisha. Ana macho makubwa manane: macho ya serafi, macho ya mwanadamu, macho ya simba na macho ya tai, na ana mabawa makubwa sita yenye urefu wa futi sita mpaka nane kila moja. Ana rangi ya bluu, bluu iliyoiva, ambayo ni sehemu kubwa ya rangi ya kuzimu, na macho makubwa kama nguva wa Afrika. βMtuβ wa namna hiyo akikwambia njoo nikupige kojoa kwanza ndiyo uende. Kukaa karibu na βmtuβ wa namna hiyo ni kujitafutia matatizo makubwa. Kuepukana naye, usiwe mkristo wa Shetani, usiwe mkristo wa kanisa, usiwe mkristo wa dini, kuwa Mkristo wa Yesu Kristo. Kwa maneno mengine, usiwe mkristo wa kufuata bendera, usiwe mkristo wa kinafiki β kuwa Mkristo wa kweli.
β
β
Enock Maregesi
β
Falaki maana yake ni kundi la nyota na sayari ikiwemo dunia. Falaki yetu inaitwa Njiamaziwa, βthe Milky Way galaxyβ, yenye mabilioni ya mifumo ya jua ukiwemo wa kwetu. Mungu alisimamisha jua katika falaki ya Njiamaziwa kwa ajili ya Yoshua, ili apate muda wa kutosha kuwashinda maadui zake β wanajeshi wa mataifa matano. Kila mtu alishangaa sana kipindi hicho. Kila mtu anashangaa sana kipindi hiki. Mungu akikubariki watu watasema wewe ni mchawi. Hawatajua nini kilitokea. Kwani kwa Mungu hakuna kinachoshindikana. Mungu aliweza kutenda miujiza kwa ajili ya Yoshua, na kwa ajili ya wana wa Israeli huko Gibeoni na huko Aiyaloni, anaweza kutenda miujiza kwa ajili yako popote pale ulipo. Mungu anachotaka kutoka kwako ni imani ya kweli juu yake, kwa mwili na kwa roho yako yote.
β
β
Enock Maregesi
β
Wachawi wanamwabudu Shetani. Lakini Shetani wanayemwabudu si Shetani Ibilisi aliyeumbwa na Mwenyezi Mungu kuja kuudanganya ulimwengu wote. Ni Shetani roho ya mabadiliko, mabadiliko ya kweli, ya ufahamu kamilia ulimwengu huu ambamo sisi sote tunaishi. Wachawi, kwa maneno mengine, wanaabudu miungu β kama vile Inanna wa Mesopotamia, Isis wa Misri, Asherah wa Kaanani au Belus wa Assyria ambaye ndiye mungu wa kwanza kuabuadiwa kama sanamu duniani β iliyotwaliwa na Shetani tangu misingi ya ulimwengu huu kusimikwa. Dhambi aliyotenda Shetani mbinguni ni ndogo kuliko dhambi wanazotenda wachawi duniani, ijapokuwa dhambi aliyotenda Shetani haitaweza kusamehewa na ndiyo maana Shetani hataweza kuwasamehe wanadamu. Ni jukumu letu kuwaita wachawi wote kutoka Babeli na kuwaleta katika ukweli kama kweli wanayemwabudu ni Shetani Ibilisi, Shetani Beelzebub, Shetani Asmodeus, Shetani Leviathan, Shetani Mammon, Shetani Amon au Shetani Belphegor ambao ni mabingwa wa kiburi, uroho, zinaa, wivu, fedha, hasira na uvivu duniani. Wachawi hawajui, na usipojua waweza kufa bila kujua.
β
β
Enock Maregesi
β
Wachawi wanaabudu miungu ambayo ndani yake kuna Shetani, aliyesababisha Ibilisi achague mabaya badala ya mema kabla Mungu hajamfukuza mbinguni. Shetani ndani yake kuna Shetani. Huyo Shetani aliyeko ndani ya Shetani, anayeitwa Roho ya Mabadiliko ya Kweli ya Ufahamu Kamili wa Siri ya Uumbaji wa Mungu (kwani ukiijua siri ya uumbaji wa Mungu unakuwa kama Mungu), ndiye anayeabudiwa na wachawi.
β
β
Enock Maregesi
β
Shahidi mwaminifu na wa kweli anayajua mambo yetu yote tangu kuumbwa hadi mwisho wa dunia yetu. Kwa hiyo, ni kweli unabii lazima utimie. Mungu anataka tuwe na amani ndani ya mioyo yetu lakini anajua si jambo rahisi kwa sababu ya hila za Shetani. Shetani asingekuwepo amani ingekuwepo; watakatifu wasingekuwepo, dunia isingekuwepo. Lakini mlango wa rehema bado haujafungwa. Bado tuna uhuru wa kuchagua mema dhidi ya mabaya.
β
β
Enock Maregesi
β
Mapenzi, kama ilivyo kwa vitu vyote hapa ulimwenguni, hayawezi kuwepo bila kujumuishwa na fizikia na kemia yake! Bila kemia hakuna mapenzi ya kudumu. Tamaa ya ngono kimsingi huanza pindi unapokutana na mtu. Tamaa hiyo huweza kukua na kuwa kitu kingine kadiri muda unavyokwenda lakini chanzo kinakuwepo toka siku ya kwanza mlipokutana. Kemikali inayosababisha tamaa ya ngono na hata kuikuza tamaa hiyo ni 'phenyl ethylamine' ('fino itholamine') au PEA ambayo ni kemikali ya mapenzi ndani ya ubongo. Husisimua watu na huongeza nguvu za kimwili (fizikia) na kihisia (kemia). Tamaa husababisha mtu azalishe PEA nyingi zaidi, kitu kinachosababisha kujisikia kizunguzungu (cha hisia za kimapenzi) na dalili zingine kama magoti kutetemeka, jasho kutoka viganjani na kutokutulia. Kemikali hii inapozalishwa kwa kiwango kikubwa, hutuma alamu ('signals') kutoka kwenye ubongo mpaka kwenye viungo vingine vya mwili na kutumika kama 'dopamine' au 'amphetamine' ambazo ni kemikali za ulevi ndani ya ubongo. Iwapo unajiuliza kwa nini wewe au mtu mwingine unavutiwa na mtu ambaye hamwendani kimapenzi, inaweza kuwa ni kwa sababu una kiwango kikubwa cha kemikali hizo kuliko mwenzako, kitu ambacho huzidi uwezo wa kutumia kichwa na kutoa maamuzi bora kulingana na akili ya kuzaliwa.
Kwa jumla, mapenzi yote ya kweli uhitaji angalau kiwango kidogo cha PEA kwa wale wanaopendana. Cha msingi kukumbuka ni kwamba kemikali hizi huja kwa vituo, nikiwa simaanishi kwamba tamaa ya ngono hupotea pale mtu anapoelekea kwenye uhusiano wa kudumu. Lakini mambo hubadilika. Hatuwezi kuvumilia zile hisia kali kadiri tunavyozidi kusafiri kuelekea kwenye uhusiano wa kudumu na kwenye maisha ya pamoja yenye furaha. Katika uhusiano wenye afya hata hivyo matatizo hutokea hapa na pale. Chanzo cha Murphy na Debbie kupendana kilikuwa kemia zaidi kuliko fizikia. Kama hakuna kemia hakuna mapenzi.
β
β
Enock Maregesi
β
You can have your own opinions but not your own facts
β
β
Talib Kweli
β
Kwa nini mtoto mchanga anapokuwa ananyonya ziwa la mama yake, mara nyingi humwangalia mama yake machoni? Kwa sababu, licha ya macho kuonekana kitu cha ajabu kwake, mtoto mchanga, bila kujitambua, hutamani sana mama yake amwambie neno zuri atakalolitumia baadaye katika maisha yake atakapokuwa mkubwa. Maneno huumba. Ukimwambia mwanao kuwa anaonekana atakuwa jambazi, anaweza kuwa jambazi kweli atakapokuwa mkubwa; ukimwambia kuwa anaonekana atakuwa mwanasheria, anaweza kuwa mwanasheria kweli atakapokuwa mkubwa.
β
β
Enock Maregesi
β
According to the World Health Organization, self-care is βthe ability of individuals, families, and communities to promote health, prevent disease, maintain health, and to cope with illness and disability with or without the support of a healthcare providerβ (Bottaro, 2023).
β
β
Kweli Carson (The Ultimate Self-Love Guide for Black Women: How to Be Kind to Yourself in an Unkind World - Prioritize Self-Care, Embrace Self-Compassion, and Love Yourself Unconditionally)
β
The million-dollar question that we should ask is: How can Black women prioritize self-care without compromising their daily schedules and essential responsibilities?
β
β
Kweli Carson (The Ultimate Self-Love Guide for Black Women: How to Be Kind to Yourself in an Unkind World - Prioritize Self-Care, Embrace Self-Compassion, and Love Yourself Unconditionally)
β
effective time management involves distinguishing between important tasks and time-wasters and then dedicating your available time to what truly matters.
β
β
Kweli Carson (The Ultimate Self-Love Guide for Black Women: How to Be Kind to Yourself in an Unkind World - Prioritize Self-Care, Embrace Self-Compassion, and Love Yourself Unconditionally)
β
Cultivating self-worth is about recognizing your inherent value, independent of your productivity, your roles, or othersβ expectations.
β
β
Kweli Carson (The Ultimate Self-Love Guide for Black Women: How to Be Kind to Yourself in an Unkind World - Prioritize Self-Care, Embrace Self-Compassion, and Love Yourself Unconditionally)
β
A core principle of self-care is achieving balance in your life by responding to various needs instead of a single one.
β
β
Kweli Carson (The Ultimate Self-Love Guide for Black Women: How to Be Kind to Yourself in an Unkind World - Prioritize Self-Care, Embrace Self-Compassion, and Love Yourself Unconditionally)
β
Research shows that although 60% of African-American women experience symptoms of depression, only 12% seek help and/or treatment (Woods-Giscombe, 2016). This means that a large percentage of our sisters with depression are undiagnosed and in need of support to address ongoing mental health issues.
β
β
Kweli Carson (The Ultimate Self-Love Guide for Black Women: How to Be Kind to Yourself in an Unkind World - Prioritize Self-Care, Embrace Self-Compassion, and Love Yourself Unconditionally)
β
Strong Black Woman" was ingrained in our minds from the time we were little girls. This immense strength was presumed to be a badge of honor but it's not, my sisters. Instead, it can actually prevent us from giving our pain and trauma the attention they deserve.
β
β
Kweli Carson (The Ultimate Self-Love Guide for Black Women: How to Be Kind to Yourself in an Unkind World - Prioritize Self-Care, Embrace Self-Compassion, and Love Yourself Unconditionally)
β
A study conducted by the Centers for Disease Control showed that Black women's life expectancy was three years shorter than the average white woman, and this was caused by physical and mental illnesses induced by stress (CDC, 2016).
β
β
Kweli Carson (The Ultimate Self-Love Guide for Black Women: How to Be Kind to Yourself in an Unkind World - Prioritize Self-Care, Embrace Self-Compassion, and Love Yourself Unconditionally)
β
The kind of stress that you are most vulnerable to, as a Black woman, is chronic or ongoing stress that can affect heart health, weaken your immune system, and increase your risk of complications in pregnancy.
β
β
Kweli Carson (The Ultimate Self-Love Guide for Black Women: How to Be Kind to Yourself in an Unkind World - Prioritize Self-Care, Embrace Self-Compassion, and Love Yourself Unconditionally)
β
Jezebel" or harlot stereotype dates back to the Trans-Atlantic Slave Trade where Black men's and women's bodies were oversexualized and objectified, as a way to dehumanize and market them as attractive commodities that could be bought, exploited and sold. By creating the Jezebel stereotype, enslavers attempted to rationalize their routine sexual exploitation of enslaved African women (Green,
β
β
Kweli Carson (The Ultimate Self-Love Guide for Black Women: How to Be Kind to Yourself in an Unkind World - Prioritize Self-Care, Embrace Self-Compassion, and Love Yourself Unconditionally)
β
Our mental health is our responsibility. It is up to us to sense when we have reached our limits and need time to recenter and relieve stress and tension. Life won't stop throwing obstacles at us, but with the right self-care routine we can ward off negativity and pressure coming from every direction.
β
β
Kweli Carson (The Ultimate Self-Love Guide for Black Women: How to Be Kind to Yourself in an Unkind World - Prioritize Self-Care, Embrace Self-Compassion, and Love Yourself Unconditionally)
β
Self-care is a personalized wellness practice that is only effective when it is responding to your needs.
β
β
Kweli Carson (The Ultimate Self-Love Guide for Black Women: How to Be Kind to Yourself in an Unkind World - Prioritize Self-Care, Embrace Self-Compassion, and Love Yourself Unconditionally)
β
To sustain commitment and motivation, the practices you choose should match your daily routine and responsibilities, and if possible, require very little time and money.
β
β
Kweli Carson (The Ultimate Self-Love Guide for Black Women: How to Be Kind to Yourself in an Unkind World - Prioritize Self-Care, Embrace Self-Compassion, and Love Yourself Unconditionally)
β
next time you practice self-compassion, remember, it's not a sign of weakness, but a mark of strength.
β
β
Kweli Carson (The Ultimate Self-Love Guide for Black Women: How to Be Kind to Yourself in an Unkind World - Prioritize Self-Care, Embrace Self-Compassion, and Love Yourself Unconditionally)
β
your worth is not defined by what you do, but by who you areβa beautiful, resilient, deserving soul.
β
β
Kweli Carson (The Ultimate Self-Love Guide for Black Women: How to Be Kind to Yourself in an Unkind World - Prioritize Self-Care, Embrace Self-Compassion, and Love Yourself Unconditionally)
β
Listen to those physical and mental alerts telling you that something is wrong or that you have reached your limits.
β
β
Kweli Carson (The Ultimate Self-Love Guide for Black Women: How to Be Kind to Yourself in an Unkind World - Prioritize Self-Care, Embrace Self-Compassion, and Love Yourself Unconditionally)
β
A technique that you can use to communicate boundary violations at work is known as DESC. It stands for Describe, Express, Specify, and Consequence.
β
β
Kweli Carson (The Ultimate Self-Love Guide for Black Women: How to Be Kind to Yourself in an Unkind World - Prioritize Self-Care, Embrace Self-Compassion, and Love Yourself Unconditionally)
β
It is called ubuntu, which can be described as βothers-centeredness.β The philosophy of ubuntu is that your humanity is inextricably linked to the humanity of others, and vice versa β βI am because we are.
β
β
Kweli Carson (The Ultimate Self-Love Guide for Black Women: How to Be Kind to Yourself in an Unkind World - Prioritize Self-Care, Embrace Self-Compassion, and Love Yourself Unconditionally)
β
The first element of self-compassion is self-kindness, which is the willingness to be gentle with your words, considerate of your needs, and patient with your mistakes. Whenever you are tempted to judge or criticize your actions, self-kindness encourages you to delay the reaction long enough to inspire a sympathetic response.
β
β
Kweli Carson (The Ultimate Self-Love Guide for Black Women: How to Be Kind to Yourself in an Unkind World - Prioritize Self-Care, Embrace Self-Compassion, and Love Yourself Unconditionally)
β
common humanity. This is the idea that you are never alone in the struggles you face.
β
β
Kweli Carson (The Ultimate Self-Love Guide for Black Women: How to Be Kind to Yourself in an Unkind World - Prioritize Self-Care, Embrace Self-Compassion, and Love Yourself Unconditionally)
β
The third element of self-compassion is mindfulness, which is the awareness of what is happening right here, right now.
β
β
Kweli Carson (The Ultimate Self-Love Guide for Black Women: How to Be Kind to Yourself in an Unkind World - Prioritize Self-Care, Embrace Self-Compassion, and Love Yourself Unconditionally)
β
As Shirley Chisholm famously said, βIf they donβt give you a seat at the table, bring a folding chair" (Chisholm, n.d.).
β
β
Kweli Carson (The Ultimate Self-Love Guide for Black Women: How to Be Kind to Yourself in an Unkind World - Prioritize Self-Care, Embrace Self-Compassion, and Love Yourself Unconditionally)
β
*Wazee wanasema "huwezi kupigana na ugonjwa mkali kwakunywa dawa tamu". Kuachana na baadhi ya vilema vyako kuna kazi. Kuna kujinyima na kujipa adabu inayoenda tofauti na matamanio yako. Kuacha ulevi sio jambo lakumezea dawa tamu, unahitaji mwarubaini wakuachana na mazingira na marafiki wanao kuvuta, kuna sadaka na nguvu kubwa. Kuachana na umbea..kunahitaji dawa kali ya kufunga mdomo tena gundi yakufunga mdomo bei ghali kweli, hivi ni sh. ngapi?.* Β©οΈPd. PK,Tafadhali Umande naomba sana uwe na adabu huwezi kushindana na jua. Sehemu ya kwanza ya kuheshimu ni jikoni wewe ulidhani wapi?
β
β
Β©οΈPd. PK!
β
Kuna watoto wa Mungu na kuna watoto watakatifu wa Mungu. Watoto wa Mungu ni wale waliobatizwa na kumkaribisha Kristo kama kiongozi wa maisha yao, na hata wale ambao hawajabatizwa na kumkaribisha Yesu kama kiongozi wa maisha yao kwa maana ya uumbaji, wakati watoto watakatifu wa Mungu ni mitume na manabii wa kweli.
β
β
Enock Maregesi
β
Manabii wa uongo, na wafuasi wao, hawautaki ukweli. Kazi yao ni kutulazimisha tumwabudu Mpinga Kristo, badala ya Yesu Kristo, bila sisi wenyewe kujua. Wana mamlaka yote ya Mpinga Kristo kwa sababu, kama Mpinga Kristo, wanaongozwa na Shetani. Walimu hawa wa uongo wanaopenda kuvalia misurupwenye ya kisawasawa, na wanaoongea utafikiri wamemeza Biblia na kuitapika kwenye mikrofoni, lengo lao ni kutupeleka kwenye ufalme wa Shetani. Hatuna budi kuitangaza injili ya kweli ya Yesu Kristo, kwa imani ya kweli, kupata urithi usiohongeka wa ufalme wa Mungu.
β
β
Enock Maregesi
β
Nabii wa kweli lazima awe na upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, upole, na kiasi. Kuonyesha usungura wa manabii wa injili ya woga ni jukumu la kila Mkristo wa kweli, kuokoa roho za watu wengi kwa kadiri tutakavyoweza.
β
β
Enock Maregesi
β
Kuonyesa hila za manabii wa ghalati ni jukumu la kila Mkristo wa kweli ili kuokoa roho za watu wengi kabla Taabu ya Yakobo haijaanza.
β
β
Enock Maregesi
β
Ukimpigia mtu kura kwa sababu za kishabiki, kikabila, kidini, kirafiki au rushwa, umeshindwa kuongea na nchi yako kama inavyopaswa, umeshindwa kuwa mzalendo wa kweli, usimlalamikie yule aliyechaguliwa.
β
β
Enock Maregesi
β
Kachero wa kweli hatoi siri
β
β
Wilson M Mukama
β
Jifunze kusamehe na kwa kweli usamehe!
β
β
Enock Maregesi