We've searched our database for all the quotes and captions related to Kigogo. Here they are! All 2 of them:
“
Mtu hujichorea ramani yake ya maisha mwenyewe.
”
”
Pauline Kea (Kigogo)
“
Hapo basi - kijikeki. Kwa nini wewe upate kidogo? Sagamoyo ni kwenu, sherehe ni zenu, ufanisi ni wenu na keki kubwa ni ya kina nani?
Uhalisia wa mambo umekusibu; fungua macho uone. Keki ya uhuru imeliwa kwingine, mwaletewa masazo.