Comoros Quotes

We've searched our database for all the quotes and captions related to Comoros. Here they are! All 4 of them:

β€œ
Kiswahili ni lugha rasmi ya nchi za Tanzania, Kenya na Uganda. Ni lugha isiyo rasmi ya nchi za Rwanda, Burundi, Msumbiji na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Lugha ya Kiswahili ni mali ya nchi za Afrika ya Mashariki, si mali ya nchi za Afrika Mashariki peke yake. Pia, Kiswahili ni lugha rasmi ya Umoja wa Afrika; pamoja na Kiarabu, Kiingereza, Kifaransa, Kireno na Kihispania. Kiswahili ni lugha inayozungumzwa zaidi nchini Tanzania kuliko nchi nyingine yoyote ile, duniani.
”
”
Enock Maregesi
β€œ
Kiswahili ni lugha ya Kibantu na lugha kuu ya kimataifa ya biashara ya Afrika ya Mashariki ambayo; maneno yake mengi yamepokewa kutoka katika lugha za Kiarabu, Kireno, Kiingereza, Kihindi, Kijerumani na Kifaransa, kutoka kwa wakoloni waliyoitawala pwani ya Afrika ya Mashariki katika kipindi cha karne tano zilizopita. Lugha ya Kiswahili ilitokana na lugha za Kisabaki za Afrika Mashariki; ambazo nazo zilitokana na Lugha za Kibantu za Pwani ya Kaskazini Mashariki za Tanzania na Kenya, zilizotokana na lugha zaidi ya 500 za Kibantu za Afrika ya Kusini na Kati. Lugha za Kibantu zilitokana na lugha za Kibantoidi, ambazo ni lugha zenye asili ya Kibantu za kusini mwa eneo la Wabantu, zilizotokana na jamii ya lugha za Kikongo na Kibenue – tawi kubwa kuliko yote ya familia ya lugha za Kikongo na Kinijeri katika bara la Afrika. Familia ya lugha za Kikongo na Kibenue ilitokana na jamii ya lugha za Kiatlantiki na Kikongo; zilizotokana na familia ya lugha za Kikongo na Kinijeri, ambayo ni familia kubwa ya lugha kuliko zote duniani kwa maana ya lugha za kikabila. Familia ya lugha ya Kiswahili imekuwepo kwa karne nyingi. Tujifunze kuzipenda na kuzitetea lugha zetu kwa faida ya vizazi vijavyo.
”
”
Enock Maregesi
β€œ
In conversing with a prince at Johanna, one of the Comoro islands lying off the north end of Madagascar, he took occasion to extol the wisdom of the Arabs in keeping strict watch over their wives. On suggesting that their extreme jealousy made them more like jailers than friends of their wives, or, indeed, that they thus reduced themselves to the level of the inferior animals, and each was like the bull of a herd and not like a reasonable manβ€”"fuguswa"β€”and that they gave themselves a vast deal of trouble for very small profit; he asserted that the jealousy was reasonable because all women were bad, they could not avoid going astray. And on remarking that this might be the case with Arab women, but certainly did not apply to English women, for though a number were untrustworthy, the majority deserved all the confidence their husbands could place in them, he reiterated that women were universally bad. He did not believe that women ever would be good; and the English allowing their wives to gad about with faces uncovered, only showed their weakness, ignorance, and unwisdom.
”
”
David Livingstone (The Last Journals of David Livingstone, in Central Africa, from 1865 to His Death: 1869-1873)
β€œ
When Captain Basil Hall visited the Comoro Islands off the coast of Africa in the 1820s, he was welcomed by an islander with the memorable words: β€œHow do you do, sir? Very glad to see you. Damn your eyes! Johanna man [a man from Anjouan, one of the islands] like English very much. God damn!
”
”
Melissa Mohr (Holy Sh*t: A Brief History of Swearing)